SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TBT NA MARTIN KADINDA
ThrowBack

TBT NA MARTIN KADINDA 

Martin Kadinda aliianza safari yake katika ulimwengu wa mitindo 2007-2010 kama mwanamitindo wa jukwaani na si mbunifu katika safari yake hio aliwahi kushinda tuzo kama mwanamitindo mwenye kipaji zaidi (2008) wakati (2010) alishinda tuzo ya mwanamitindo bora wa kiume. Baada ya hapo akaamua kubadilisha uelekeo ambapo aliamua kuwa mbunifu, akiwa na miaka 22 Martin alipata dili la kumvalisha mwanamitindo mkubwa Naomi Campbell (2011). Martin anawavalisha watu maarufu wengi hapa nchini Tanzania kama Wema Sepetu, Shetta,Diamond Platnumz na wengineo.

Screen Shot 2014-04-05 at 19.40.23

Mwaka 2012 Martin alitoa Collection yake iitwayo Blazer Single Button ambayo ilimpa sana jina kwa sababu hakuna mtu maarufu ambae hakuivaa na hii ilimpa tuzo ya Best Menswear Designer of the Year.

Martin 1 single+button+2

Lakini safari ya Martin haikuishia hapo alikuja kutoa collection nyingine iitwayo Kwachu kwachu

kwachu kwachu pHOTO-MARTIN

Martin amesha wahi kufanya kazi katika majukwaa mbali mbali ya nchi mbalimbali kama Menswear Fashion Week mjini  Cape Town, South Africa, Estelle Mantel Fashion Week nchini Zambia pia Jambo Fashion Affair & Swahili Fashion Weeks Tanzania. Martin si mbunifu ambae anapotea kwa maana kila mwaka ana badilika na kuwa vizuri zaidi.

Kazi ya  Martin Kadinda hivi karibuni.

4OKepSAk

Related posts

3 Comments

 1. is marijuana legal in florida

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/throwback/tbt-na-martin-kadinda/ […]

 2. his comment is here

  … [Trackback]

  […] There you can find 67148 additional Info to that Topic: afroswagga.com/throwback/tbt-na-martin-kadinda/ […]

 3. Best magic mushroom shop New South Wales

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/throwback/tbt-na-martin-kadinda/ […]

Leave a Reply