Azzedine Alaïa Ni sandals zilizo onekana kuwa vutia watu wengi katika mwaka huu 2016, karibu watu wengi wanao penda mitindo wame onekana wakiwa wame valia sandlas hizi wakiwemo ma fashionista, wanamuziki na wana mitindo mbali mbali, Azzedine Alaïa sandals zina sifika kwa ubora wake na ubunifu wake ulivyo. Baadhi ya watu maarufu walio onekana wakiwa wame valia viatu hivi ni kama
The Kardashian’s Khloe, Kim na Kourtney wote tunajua hawa ni wapenzi wa mitindo pia ni wabunifu
Wanamuziki Rihanna na Ashanti pia wame onekana wakiwa wame valia sandals izo
Mwanamitindo Karrueche Tran na Fashion Blogger kutoka Africa Folake Huntoon nao hawakua nyuma
Viatu hivi vinauzwa kuanzia $750-$1430 sawa na Tzs 1,650,000 hadi 3,146,000, Kwa jinsi vilivyo buniwa hivi viatu vinaweza kuvaliwa na mtoko wa aina yoyote kwaio muda ukifika wa wewe kutaka kufanya manunuzi ya viatu usisahau kununua sandals hizi.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 96837 additional Info to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/azzedine-alaia-pumps-kiatu-kinacho-wavutia-wengi/ […]