Mziki unakua tumeshavuka mipaka, kwasasa muziki wetu unapigwa sehemu mbalimbali duniani. Ni wakati muafaka kwa wasanii wetu ku consider kuajiri au kutafuta mastylist ambao wanaweza kuwavalisha katika video zao.
Ni aibu kuona msanii ana vaa kitu cha kawaida sana katika video nzuri ambayo imefanyika katika location tofauti tofauti yaweza kuwa ndani ya nchi au nje. Katika video zao hizi hulipa gharama kubwa ili ziwe nzuri na rangi ya kuvutia ila wengi wao husahau mavazi.
Tuna wasanii wengi ambao bado tunahitaji wa improve katika sekta hii, ukimuangalia Yemi Alede ni tofauti na Ruby, kwenye video ya Yemi she is dressing to kill, lakini hawa wa kwetu ni tofauti nadhani its about time tuanze kufikiria na haya mavazi pia.
Muonekano ni moja ya nguzo kubwa sana katika kila kitu sio tu katika ku shoot video bali pia movies, red carpet na hata kwenye interview muonekano wako una weza kukupa marks na kukupunguzia.
Imekua kawaida kuona msanii kavaa nguo zake zile zile anazo zivaa siku za kawaida nyumbani akizivaa katika video shooting si mbaya ila at least hayo mavazi yaendane na uhalisia wa hio video
mfano wa ni Ruby ana kuja na video mpya akiwa na wakazi inaitwa sijuti remix amevaa kitu ambacho tulishamuona nacho mara nyingi tuna dhani ifike muda tujaribu kufikiria nje ya box
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/bado-tunahitaji-ma-stylist-katika-video-shooting/ […]