SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CHUNGU CHA KWANZA #1
Uncategorized

CHUNGU CHA KWANZA #1 

Ukiwa umefunga mwili unakua na upufu wa nishati ambayo inapatikana katika chakula. Hivyo kwa kutambua upungufu wa nishati mwili unavunja baadhi ya misuli laini iliyopo mwilini na kuibadilisha kuwa nishati, ambayo mwili wenyewe unahitaji.
Hivyo basi ni vema kuwa mwangalifu katika aina ya chakula ambacho utakula baada ya kufungulia, Unashauriwa kula chakula ambacho hakitahitaji kiasi kikubwa cha nishati katika mchakato mzima wa kukimeng’enya.
Lakini pia ukiwa umefunga mwili unapoteza kiasi kikubwa cha maji kwasababu unakuwa haunywi maji ya kutosha na hii inaweza kufanya ngozi kusinyaa na kupoteza mvuto wake wa asili.
Kukabiliana na hali zote hizo hapo juu katika futari yako ya leo hakikisha unaanza na matunda ambayo asili yake ni huwa yana maji mengi na sukari kama vile, Tikiti,  Zabibu na Apple.

Tikiti Maji

Ni matunda ambayo yatameng’enywa kwa uraisi na mwili wako, lakini pia yataupa nishati na virutubisho mbali mbali.
Unaweza kufungulia kwa kunywa bilauri ya juisi halisi ya mchanganyiko wa matunda. Nakufatiwa na sahani yenye mchanganyiko wa vipande tajwa vya matunda.

HEPUKA

MachungwaEpuka matunda jamii ya machungwa ukiwa unaanza kufuturu kwakuwa yana kiasi kikubwa cha tindikali.

MWISHO

Sasa unaweza kunywa bilauri moja ya maji safi na salama  ili kuuongezea maji mwili wako.

Kunywa MajiFurahia Mfungo wako Ukiendelea kuwa na muonekano ulele wa kipekee na wenye kuvutia

Related posts

4 Comments

 1. แทงบอลออนไลน์ 911

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/chungu-cha-kwanza-1/ […]

 2. รักษาหนองใน

  … [Trackback]

  […] There you will find 23847 more Information to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/chungu-cha-kwanza-1/ […]

 3. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/chungu-cha-kwanza-1/ […]

 4. passive income investments

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/chungu-cha-kwanza-1/ […]

Leave a Reply