MAHITAJI
mayai – 5
viazi vikubwa – 6
pili-pili -3
ndimu – 3
pili-pili manga
vitunguu swaumu kiasi
mafuta ya kupikia
unga wa ngano robo kilo
JINSI YA KUPIKA
Menya viazi vyako kisha vioshe uviweke kwenye sufuria, weka maji kiasi na chumvi kwa kiasi chako, bandika jikoni. wakati unasubiri viazi viive chukua pilipili 3 kitunguu saumu na chumvi kisha pondaponda kwenye kinu ili visagike.
viazi vikiwa tayari vimeiva mwaga maji na viponde wakati vikiwa bado vya moto, weka pilipili ulizokwisha ziponda, kamulia ndimu zako halafu onja ili kama ndimu iko sawa pamoja na chumvi,
chukua mayai yako matatu chemsha yaive, yakiiva subiri yapoe menya maganda. ukisha menya chukua mchanganyiko wa viazi uzungurushe mduara, chukua yai 1 uliweke katikati ya tonge lako la viazi. pakaza unga wako wa ngano mkavu, pakaza mviringo wote wa tonge la viazi likiwa na yai ndani.
vunja mayai yalio baki kwa ajili ya kuchovyea, weka mafuta jikoni yapate moto.chovya mviringo wako kwenye urojo wa mayai kisha ingiza kwenye mafuta, acha mpaka iwe na rangi ya kahawia toa kwenye mafuta na hapo itakua ta
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 50947 additional Info to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 80987 additional Info to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/katilesi-za-mayai/ […]