SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NDIZI ZA NAZI NA UTUMBO
Uncategorized

NDIZI ZA NAZI NA UTUMBO 

food 008

Mahitaji
Ndizi mshale 10
Utumbo wa ng’ombe 1/2 kilo

Nazi ya kopo 1
Nyanya 1
Kitunguu kikubwa 1
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakula
Olive oil kiasi
Limao 1
Chumvi
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Coriander ya powder 1/2 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Pilipili kali nzima (usiipasue)
Matayarisho
Safisha utumbo kisha uweke ktk pressure cooker pamoja na chumvi kiasi, limao, tangawizi, swaum na maji kiasi kisha uchemshe kwa muda wa nusu saa. Baada ya hapo menya ndizi kisha zikate vipande vidogo kiasi ili ziwahi kuiva, kisha ktk sufuria ya kupikia tia vitunguu na nyanya kisha ndizi kwa juu yake na supu ya utumbo kiasi chumvi kidogo na mafuta kiasi kisha bandika jikoni na uchemshe mpaka ndizi zikaribie kuiva. Zikisha karibia kuiva tia utumbo na spice zote, pilipili nzima na tui la nazi kisha changanya vizuri na uache vichemke mpaka ndizi na tui la nazi vitakapoiva na rojo ibaki kiasi. Baada ya hapo Ndizi zako zitakuwa tayari kwa kuliwa.

 

Related posts

3 Comments

  1. temazepam

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/ndizi-za-nazi-na-utumbo/ […]

  2. look at more info

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/ndizi-za-nazi-na-utumbo/ […]

  3. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/ndizi-za-nazi-na-utumbo/ […]

Leave a Reply