SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TAMBI NA NYAMA YA KUSAGA
[ File # csp10113866, License # 1894867 ] Licensed through http://www.canstockphoto.com in accordance with the End User License Agreement (http://www.canstockphoto.com/legal.php) (c) Can Stock Photo Inc. / DashaPetrenko
Uncategorized

TAMBI NA NYAMA YA KUSAGA 

[ File # csp10113866, License # 1894867 ] Licensed through http://www.canstockphoto.com in accordance with the End User License Agreement (http://www.canstockphoto.com/legal.php) (c) Can Stock Photo Inc. / DashaPetrenko

Tambi Za Kukaanga

VIPIMO

Tambi  –  pakti moja

Sukari –  ¾ kikombe cha chai

Mafuta  -½ kikombe cha chai

Iliki – kiasi

maji – 3 Vikombe vya chai

Vanilla / Arki rose – 1-2 Tone

Zabibu –  Kiasi (Ukipenda)

NAMNA YA KUTAYARISHA NA  KUPIKA

 1. Zichambue tambi ziwe moja moja.
 1. Mimina mafuta kwenye sufuria yakisha pata moto mimina  

      tambi,zigeuzegeuze mpaka zibadilike rangi na kuwa brown.

 1. Punguza mafuta kwa kuyachuja na zirudishe jikoni.
 1. Nyunyizia iliki zilizosagwa koroga kidogo na mimina maji na tia arki  

      na acha zichemke mpaka maji yakikaribia kukauka mimina sukari

      koroga kidogo na punguza moto.

 1. Kisha tia zabibu ukipenda, zifunike ili  zikaukie vizuri.
 1. Zikishakauka pakua kwenye sahani tayari kwa kuliw

Kidokezi   Itategemea na aina za Tambi unazopika kwa kukisia maji, kama utaona hazijaiva unaweza   kuongeza maji kidogo.

MAPISHI YA NYAMA YA KUSAGA

images

 

 

Kuandaa: dakika 12
Mapishi: dakika 30

Walaji: 4

Ujuzi: Wastani

Gharama: Nafuu

Kuna mapishi tofauti ya nyama ya kusaga wengine wanaiosha wanachuja maji wengine wanachemsha mm naipika tofauti na hao.

Mahitaji

 •  Nyama ya kusaga kilo 1
 • Vitunguu maji 2
 • Vitunguu saumu 2
 • Tangawizi 1
 • Nyanya 4
 • Mafuta ¼ lita
 • Chumvi kijiko 1 cha chai
 • Karoti 2
 • Pilipili hoho 1
 • Ndimu. 1

Maelekezo

 •  Menya vitunguu na ukate kwenye vipande vyembamba sana
 • Menya na kwangua karoti iwe kama uji
 • Menya pilipili hoho na kisha kata vipande vyembamba
 • Menya nyanya na zikate kawaida
 • Menya, osha na kisha kwangua tangawizi
 • Twanga vitunguu saumu
 • Bandika sufuria ya kupikia jikoni
 • Weka nyama na anza kukoroga ili kuzuia isigandie kwenye sufuria na kuungua
 • Weka kitunguu maji huku ukiendelea kukoroga kwa muda wa dakika 10
 • Weka kitunguu saumu na tangawiizi. Endela kukoroga kwa muda wa dakika 5 zaidi.
 • Weka mafuta kidogo sana ili kufanya viungo viize.
 • Weka pilipili hoho, karoti na kamulia ndimu. Ongeza chumvi kidogo. Endelea kukoroga.
 • Weka nyanya, koroga na funika sufuria na mfuniko kwa muda kama dakika 10.
 • Funua angalia kama imeiva. Unaweza kujiramba.

 

Related posts

6 Comments

 1. investigate this site

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

 2. สมัครบาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

 3. Best Psychedelic Store New South Wales

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

 4. Bubble Tea

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

 5. ชีวกลศาสตร์

  … [Trackback]

  […] There you can find 74541 additional Information to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

 6. his explanation

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/uncategorized/tambi-na-nyama-ya-kusaga/ […]

Leave a Reply