Huu ni ule wakati wa kushehereka kumaliza shule, iwe ni secondary au chuo, wakati unafikiria ni mavazi gani uvae, viatu, pochi na wapi utaenda kusheherekea usisahau kufikiri kuhusu makeup yako, japo makeup ya graduation huwaga simple ila kuna tips ambazo unaweza kufanya ili iweze kumudu kukaa muda mrefu lakini pia usionekane kituko na makeup yako. leo tunakupa tips 10 za nini ufanye kabla na wakati unapaka makeup yako
- Andaaa Ngozi Yako Mapema
Siku moja kabla ya kwenda kupaka makeup yako ya graduation andaa ngozi yako, isafishe vizuri, fanyia facial, pumzisha uso wako na urembo mwingine ili unapo paka makeup yako ikae vizuri.
-
Flash Back Is Your Enemy
Sote tunapenda kuwa na kumbukumbu nzuri katika graduation zetu na ndio maana tuna tafuta mavazi mazuri, makeup artist wazuri ili tukipiga picha kumbukumbu zetu ziwe nzuri, well flashback makeup ni ule weupe unaonekana katika ngozi ukiwa umepiga picha,Flashback mara nyingi husababishwa na viungo fulani vilivyopo katika makeup au skin care unayotumia, The intense light of flash photography is deflected off the skin and into the camera lens, creating a whitish glow, Ili kuepuka flashback’s na kupata picha nzuri tumia vipodozi visivyo na SPF,SPF ni sababu kubwa inayo sababisha flash back & we don’t have time for that
-
Water Proof Mascara
Wengi tunapomaliza shule na ku-graduate tunakuwa emotional, kukumbuka uliyo yapitia wakati unasoma, kutokuamini kama leo unamaliza, furaha ya kumaliza,au hata majonzi ya kuachana na wenzako hii inawezakusababisha utokwe na machozi, boo boo you need to take caution kabla ya kuharibu makeup yako na kujichafua na mascara, tafuta water proof mascara upake ili hata ukilia isitoke.
-
Bake Your Face
Kama hupendi a bad baked cake basi na makeup ni hivyo hivyo bake it perfect kwa makeup sponge na setting powder,Powder up pale ulipo blend concealer yako hakikisha una epuka fine lines and creasing
- Blend Blend Blend
Hakuna kitu kibaya kama makeup ambayo haijakuwa blended vizuri, chukua muda wako ku-blend foundation yako vizuri na sio tu usoni bali kwenye shingo pia, hutaki kuonekana na rangi mbili shingoni na usoni right? blend that foundation in.
- Natural Lighting
Kwa makeup nzuri na kwa sababu graduation nyingi ufanyika mchana ili kujua inafaa au haifai paka makeup yako ukiwa unatumia natural lighting yaani jua, usijifungie ndani ukafunga madirisha na kuwasha taa yako, fungua madirisha kaa dirishani na uanze kupaka makeup yako kwa kutumia mwanga wa asili hii itakupa nafasi ya kugundua kama makeup uliyopaka inafaa kwa muda huo na kuspot makosa kirahisi.
- Tumia Matte Lipstick/Lipstick Kavu
ilikuepeuka ile kasheshe ya kila saa kujiangalia na kupaka lipstick yako tumia matte lipstick, ambayo ni kavu na hudumu kwa muda mrefu bila kutoka katika lips
- Blind The Haters With Highlighter
Highlight makeup yako tell them through all the hardness sasa ni muda wako wa ku-shine
-
Set It
Graduation huchukua muda mrefu, ili kufanya makeup yako iweze kudumu muda wote huo bila ya kuharibika na jasho hakikisha unamalizia kupaka makeup yako kwa kupaka makeup setting spray.
Ni matumaini yetu tips zitakusaidia na kama ungependa kupata msaada kutoka kwetu tutumie dm kupitia @afroswagga account Instagram
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/10-tips-for-graduation-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/10-tips-for-graduation-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/10-tips-for-graduation-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/10-tips-for-graduation-makeup/ […]