SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Head Scarf Style For A Bad Hair Day From Jacqueline Mengi
Urembo

3 Head Scarf Style For A Bad Hair Day From Jacqueline Mengi 

Kuna siku unakuwa na nywele nzuri na kunasiku unaamka asking yourself what happened? Who is this? na inawezekana ukawa huna muda au unasikia uvivu kwenda kuzihudumia well hapa ndipo ambapo unahitaji scarf kukusaidia. Huwezi kutoka kwenda kazini na nywele zisizoeleweka lakini pia huwezi kuacha kwenda kwenye mizunguko yako kisa tu nywele mbaya.

Scarf’s are very versatile unaweza kuzistyle namna mbalimbali lakini zinafaa kuingia nazo sehemu yoyote na zipo very stylish kama utazifunga vyema. Ni namna mojawapo pia ya ku-upgrade muonekano wako kama upo boring.

 • The Twisted Headband

Hii ni style nzuri hasa kama nywele zako mbele zimefumuka au gundi imeisha, lakini unataka kushow off some hair nyuma, unafunga mbele kama headband ukiachana nywele zako nyuma zikining’inia.

 • The Lowbun

Hii ni nzuri endapo unataka kuficha nywele zote, unafunga kiremba chako kawaida huku nyuma unazungusha kukaa kama kidoti, ni style nzuri sana kama utatumia scarf nzuri then inaweza kukupa ile rich auntie look kama ambavyo tunamuona Jacqueline.

 • The Babushka

Babushka hii style ni more of casual style ambayo huwezi kwenda nayo kazini ila unaweza kwenda nayo saloon au kwenye meetings na marafiki, inakupa utofauti kwa sababu si kawaida sana kukutana na mtu amefunga scarf yake kwa style hii, it takes guts sababu watu watakuangalia lakini pia ni a stylish way ku-upgrade muonekano wako.

Well Afromates next time ukiamka na bad hair jua kuna namna ya kustyle ulivyonavyo na ukapendeza tu bila ya ku-stress, let us know style ipi unaweza kuitumia?

Related posts

2 Comments

 1. important link

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/3-head-scarf-style-for-a-bad-hair-day-from-jacqueline-mengi/ […]

 2. 토렌트

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/3-head-scarf-style-for-a-bad-hair-day-from-jacqueline-mengi/ […]

Comments are closed.