SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Times Seline Official Served Us With Flawless Makeup
Urembo

3 Times Seline Official Served Us With Flawless Makeup 

Seline ni mwanamziki kutoka Tanzania ambae japo hasikiki sana lakini anafanya mambo makubwa, moja ya kitu ambacho huwa kinatuvutia kwake ni makeup zake. Mara kwa mara huwa tunamuona na makeup iliyotulia iwe bold makeup au simple makeup.

Tumechagua makeup looks zake nne ambazo zimetuvutia na labda na wewe zinaweza kukuvutia na kua-inspire nazo kwa ajili ya makeup look yako ijayo

Unaenda kwenye sherehe na unependa makeup iliyoyakawaida tu lakini inavutia? basi hii look kutoka kwa Seline itakufaa zaidi tumependa namna ambavyo amei-upgrade kwa kutumia statement accessories na kiremba

Bold Lips hii ni our all time favorite, ambapo alikuwa na bold lips za pink lakini kilichofanya a-stand out ni namna alivyo color block makeup yake na kiremba na hereni #Serving

Rainbow Makeup, kuna ile siku unajisikia tu kuwa na colors nyingi mwilini mwako, basi hii makeup look kutoka kwa Seline inaweza kukutimizia hitaji lako la hio siku, hakikisha tu makeup artist wako anajua kuchagua rangi ambazo zina compliment each other usije ukatoka kama mti wa m-Christmas

Well tuambie ni look gani imekuvutia zaidi?

Related posts