SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Tips Za Jinsi Ya Kupendeza Na Nywele Fupi
Hair

3 Tips Za Jinsi Ya Kupendeza Na Nywele Fupi 

Well tumemzoea Tiwa Savage akiwa na weaving au wigs ni mara chache kuona nywele zake. Lakini inaonekana huu mwaka watu wengi wameamua kukata nywele na Tiwa Savage ni moja wapo. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Tiwa alipost muonekano wake huu mpya akiwa amekata boy-ish low cut. We Love This Look On Her.

Lakini ulishawahi kufikiria kwanini au vipi hawa watu maarufu wakinyoa huwa wanapendeza wakati sisi tukinyoa it’s more of a disaster? hizi ni few tips za wewe kuzifanya wakati umenyoa na zinaweza kukupa msaada wa kukufanya upendeze kila siku.

  • Rock a Bright Lipstick

Jimeliona au kujifunza hili kutoka kwa Jacqueline Wolper, Wolper huwa ana kata nywele mara nyingi na ukikata nywele ina maanisha uso pamoja na kichwa vinakuwa plain, unacho takiwa kufanya ni kuongeza au kupaka bold lipstick ambayo itachukua attention ya watu na kufanya uso wako uchangamke na ku – pop

 

  • Add Accessories

Hii tip wanatumia watu maarufu wengi, wakikata nywele mara nyingi wanaziacha accessory ziongee, wanavaa statement accessories, kama ni mkufu, hereni n.k. kama ambavyo tumesema ukikata nywele unakuwa plain ili kuongeza chachu jaribu kuongeza urembo katika mwili wako.

  • Try a Bold Hair Color

try to have fun with your hair, kwa kuongezea rangi. Tumeona hii ikifanyika mara nyingi kwa watu maarufu kwa hapa Tanzania tumemuona Vanessa akiwa ameweka nywele zake rangi ya orange ambayo ilikuwa gumzo. Lets say girl wanna have fun.

 

Related posts

3 Comments

  1. can you download videos from youtube

    … [Trackback]

    […] Here you will find 6263 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/3-tips-za-jinsi-ya-kupendeza-na-nywele-fupi/ […]

  2. คอริ่ง

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/3-tips-za-jinsi-ya-kupendeza-na-nywele-fupi/ […]

  3. Where to find DMT in Australia

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/3-tips-za-jinsi-ya-kupendeza-na-nywele-fupi/ […]

Comments are closed.