SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

4 Times Mwanamitindo Irene Ametupa Makeup Goals
Make Up

4 Times Mwanamitindo Irene Ametupa Makeup Goals 

Jumatano nyingine tena ya week ambayo huwa tunawaletea ni kitu au mtu gani ametuvutia katika mavazi, urembo, nywele au kitu chochote kutoka kwake. Week hii tunae mwanamitindo video vixen Irene au Officiallyyn ambae tumependa hizi makeup zake alizo fanyiwa na make up artist Rose Kayuga (@rosekayuga )

Rose ni moja kati ya makeup artist wazuri kabisa Tanzania na tunaweza kusema anaiteneda haki sura ya Irene, mar nyingi amekuwa akimpaka makeup lakini sisi tumependa hizi zaidi.

Tumependa hii makeup ilikuwa simple neat wakafanya iwe bold na red lipstick, the pink lipstick imemfanya makeup ipop barabara kabisa, the curly hair on point, amemaliza na colorful clothes & accessories

Juu lipstick ilikuwa  red lipstick  hapa ni hot pink lipstick same shade, tuchukue dakika chache kuisifia hizi nyusi, eye brows on fleek, eye liner imepakwa vizuri eye shadows zimetulia just a perfect makeup on a beautiful face, hapa alimaliza na curly hair pia na pink off shoulder top na yellow earrings. Love it.

Talking about earth notes hapa Irene alipakwa maroon  matte lipstick, we love the extra yellow under eye & eye shadow inayoendelea hapa, imeendana vizuri na rangi ya lipstick, alimalizia na pixie cut hairstyle na hereni za rangi ya dhahabu.

When the makeup is on point you have to serve faces, tumeipenda hii pia ambapo hapa kidogo maroon yake ilipoa, the yellow under eye shadow ikiendelea hapa.

Well next time ukienda kufanya makeup kumbuka hizi kutoka kwa Irene.

Related posts

2 Comments

  1. Go Here

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/4-times-mwanamitindo-irene-ametupa-makeup-goals/ […]

Comments are closed.