SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

4 Ways To Wear Statement Earrings
Urembo

4 Ways To Wear Statement Earrings 

Kwa wanaume wao wanapenda ku show off au making a statement na new cars, phones etc, wakati kwa wanawake its all about how they look, makeup yake ipo on point, ana nukia vizuri, nguo zimepangiliwa vizuri. Muda mwingine wanaenda mbali zaidi lakini kumbe unaweza ku-make statement na vitu vidogog vidogo kama viatu, pochi, accessories etc.

Leo tunaongelea namna nne za jinsi ya kuvaa statement earrings thanks to Hamisa Mobetto, Jokate Mwegelo na Lavidoz kwa kutuonyesha how to do it.

Stylist Lavidoz , alikua on her casual chic mood, ambapo alivaa a statement blue & white top na white trouser to make a statement akachagua dropped gold statement earrings, tulicho jifunza ni sio tu kwenye mitoko ya red carpet na harusi unaweza kuvaa statement earrings zako casual and make a statement lakini pia inategemea na safari yako ni ya wapi?

Jokate Mwegelo rocking red flower earrings, kama ukitoa hizo hereni unaweza kujua how boring angekuwa statement thing ingekua ni gauni na kwa rangi za gauni asinge wow labda hio ndiyo sababu ya kuongezea hizi bold red color earrings, well when its bored just add a colorful statement earring and you good to turn heads. 

Jokate tena na dropped tassel earrings, zamani walikuwa wakisema ukiwa na shingo fupi hufai kuvaa hereni ndefu lakini kwa sasa kila mtu anavaa vile ambavyo ana jisikia well hereni hizi ukiziangalia zime match na  part ya gauni, hereni imeleta the wow factor kwenye sura yake ukiachana na her perfect done makeup.

Hamisa Mobetto ana tuonyesha how to rock statement earrings pale unapo vaa one shoulder dress, well one shoulder au off shoulder dresses can be ticky sometimes, wengi hupenda kuvaa statement chain ili wasiwe plain sana maeneo ya usoni na kifuani lakini pia unaweza ku rock statement earings na kuamishia attention usoni watu wakasahau kuhusu kifua.

Hizo ndio tips zetu za leo kama unapenda article za namna hii tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii

Related posts

4 Comments

 1. Investing in the stock market

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/4-ways-to-wear-statement-earrings/ […]

 2. Where to order Albino penis Envy Queensland.

  … [Trackback]

  […] Here you can find 21434 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/4-ways-to-wear-statement-earrings/ […]

 3. 방콕푸잉

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/4-ways-to-wear-statement-earrings/ […]

 4. how to join illuminati

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/4-ways-to-wear-statement-earrings/ […]

Leave a Reply