SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Beauty Looks From Instagram You Would Love
Make Up

5 Beauty Looks From Instagram You Would Love 

Fashion goes hand in hand with beauty iwe natural au na makeup unapokuwa umevaa umependeza lazima utafikiria na nini ufanye usoni na nywele ili kukamilisha muonekano wako, week hii tunakuletea 5 beauty looks tulizo ziona kutoka katika mtandao wa Instagram na tukafikiri unaweza kuipenda mionekano hii kwa namna moja au nyingine, lakini pia unaweza kujaribu ili kubadilisha ule muonekaono wako wa kila siku.

Lulu Diva

Tume mspot mwanamuziki Lulu Diva akiwa amepakwa hii bold makeup na make up artist @beauty__queen__salon, eye shadow yake ilikuwa colorful ikiwa na rangi ya orange, purple na pink kwa mbali, akamaliziwa na nude lipstick ili kutoonekana too much as nywele zake nazo zilikuwa na bold color zile orange shades za moto (fire).

Jacqueline Mengi

Mama wawili served us face akitukumbushia enzi zake za modeling, jacque was minimum na makeup yake, the eye brows on fleek amemalizia na blush pink eye shadow na lipstick, hair laid perfectly tulichopenda zaidi ni hizo eye lashes zimehighlight vizuri kabisa macho yake.

 

Hamisa Mobetto

Went for natural tone makeup, alikuwa na interview mchana so tunaelewa kwanini makeup yake akachagua isiwe bold, we love this look as inaonyesha au ku highlight her natural features, love the pink lipstick & wet hair zina trend kwa sasa japo kuna some mistakes kwenye nywele but tutazipass kwa leo. Makeup done by @queennuru_makeup

Rosa Ree

tulishawahi kusema ukiachana na huyu msichana kuwa anafanya hiphop lakini anajipenda mno kuanzia mavazi mpaka makeup zake, well week hii ali bless ourtimeline na hii bold makeup we love the purple lips & highlighter poping to make the haters go blind.

Muna Love

Muigizaji Muna Love ni moja kati ya watu maarufu ambao hatukuwa tunaelewaga makeup zake lakini tunaona kapata mtu ambae anampatia sasa hivi she is serving looks like no body’s business, this nude matte lipstick is everything na eyebrow zimetulia we cant get over the nude eyeshadow, lovelove love.

Related posts

4 Comments

 1. special info

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/5-beauty-looks-from-instagram-you-would-love/ […]

 2. ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/5-beauty-looks-from-instagram-you-would-love/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/5-beauty-looks-from-instagram-you-would-love/ […]

 4. bandar togel

  … [Trackback]

  […] Here you can find 89431 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/5-beauty-looks-from-instagram-you-would-love/ […]

Comments are closed.