SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 HAIR STYLES KUTOKA KWA VANESSA MDEE
Hair

5 HAIR STYLES KUTOKA KWA VANESSA MDEE 

Sote tunajua Vanessa ni moja kati ya wasanii maarufu wanao penda nywele zao, na ana weka hair style yoyote na rangi yoyote. Kama una taka kufanyia make over nywele zako hizi ni style tano  za nywele kutoka kwa  vanessa  ambazo zina weza kuku inspire.

black-with-green-highlights-hair-1 Black & Green

Vanessa-mdee-grey-braids-1

Gray Braids zipo kwenye trend sana kwa sasa rasta za rangi mbili

vanessa-mdee-purple-braids-1

Purple Faux Braids sio lazima na wewe uweke za rangi rangi una weza suka nyeusi.

vanessa-mdee-middle-part-1-1

Black Long Weave

Vaness-mdee-grey-and-purple-1

Purple Weave

Chagua uliyo ipenda kati ya hizo

Related posts

3 Comments

  1. their website

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/5-hair-styles-kutoka-kwa-vanessa-mdee/ […]

  2. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/5-hair-styles-kutoka-kwa-vanessa-mdee/ […]

  3. buy golden teacher mushroom online legal,

    … [Trackback]

    […] There you will find 18168 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/5-hair-styles-kutoka-kwa-vanessa-mdee/ […]

Leave a Reply