SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 Must Own Hijab’s
Dondoo

5 Must Own Hijab’s 

Hijab zina weza kuharibu au kupendezesha Mavazi yako kama itavaliwa vibaya au ipasavyo, wengi huwa tunajiuliza zile basic hijab za kuwa nazo kwa sababu ki ukweli kuna kila aina na kila rangi lakini zipi ndizo muhimu hasa? kwa kulitambua hilo tume amua kuwaletea hapa ubaoni Hijab 5 muhimu kuwa nazo ambazo sisi kama Afroswagga tumeona ni muhimu

  1.  The Black Hijab ( Hijab ya rangi nyeusi) – Hii ni muhimu kwa sababu ina valika na kila vazi na katika kila occasion iwe formal occasion au informal, kizuri zaidi kuhusu black hijab ni pale unapo kuwa na safari na hujui uvae hijab ya rangi gani hii huwa pale kukusaidia.

  •          Neutral Hijab (rangi zilizo tulia) hizi ni kama rangi ya nude, grey, beige hizi ni muhimu kuwa nazo hasa kama wewe ni mpenzi wa kuvaa   nguo   za rangi rangi hizi husaidia ku tone down zile rangi rangi. pia kama ni mpenzi wa ku match mavazi na hijab.

  • The Fancy Hijab ( zile hijab zenye stones na urembo urembo) – hizi ni zile hijab zenye urembo kama stones,crystals etc hizi ni muhimu katika mitoko kama sherehe,harusi, mihaliko ya ftari jioni

 

  • Gold, Silver Hijab – kwa wale ambao wanapenda kuonekana very fancy kwenye sherehe lakini bila kuvaa hijab zenye mabo mengi kama stones etc hizi huwa ni chaguo zuri zaidi

  • Statement Hijab/Floral Hijab (Hijab zenye maua maua) – hizi zenyewe huwa zina fanya kazi ya ku-make statement pale unapo vaa nguo za neutral ukivaa na hizi una pendeza sana.

 

Related posts

1 Comment

  1. buy golden teacher mushroom online at home,

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/5-must-own-hijabs/ […]

Leave a Reply