Didi Olomide ni mwanamitindo ambae ni mtoto wa mwanamuziki mkubwa kutoka Congo, Koffi Olomide. Kama unamjua Koffi utajua kuhusu mapenzi yake kwenye mitindo na namna ambavyo anakuwa wa tofauti. Lakini ukiachana na fashion lakini pia Koffi yupo vizuri kwenye kujijali na inaonekana kwamba mtoto wake Didi amerithi kutoka kwa baba yake.
Didi anapenda mitindo kuanzia kuvaa, accessories na urembo na leo tuna mara 5 ambazo Didi served us nothing but beauty.
That one time she served us a pixie cut hair style with statement gold earrings, while she decide to go for nude lipstick and simple makeup. Those earrings are to die for.

Can we talk about how perfect those eye blows are though? kitu kimoja ambacho tumekiona kutoka kwake ni kupenda accessories ambazo huwa zina-complete muonekano wake from makeup to outfits.

She always gives us blush goals the jaw lines and everything, we also lobe the piercing arrangement.

Pretty Black Barbie, hii makeup alikuwa ana model ni editorial makeup look.. they let the eyes to the talking while everything else was simple and neat.

pixie cut and smokey nude – inspired glam

Well Mates look gani umeipenda zaidi?
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…