SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

5 ways to improve personal hygiene
Urembo

5 ways to improve personal hygiene 


Kuna vitu unatakiwa ujue kuwa ni muhimu sana kwenye kuimprove your personal hygiene. Sidhani kama kuna mtu ambae havijui ila hivi ni njia tano ambazo ni muhimu sana kuzijua hili uwe na muonekano wa kuvutia na kuwa na nuru. Kuna baadhi ya vitu tunafanya then hatujui kuwa vinasaidia sana katika kuimprove your personal hygiene vipo vingi sana but kwa leo tunakuambia ambavyo vipo na umuhimu sana katika maisha yako na muonekano wako.

1.  Matumizi ya gloves za kuogea 

Katika kitu ambacho hautakiwi ukipuuze basi ni kutokuwa na gloves za kuogea kwa sababu kuna baadhi ya sehemu za mwili ni ngumu sana kutoa uchafu kwa kutumia maji na sabani tu mfano mzuri ni mgongoni, Unachotakiwa ni kutumia gloves kila unapoenda kuoga kwa ajili ya kuufanya mwili wako uwe msafi sana.

2.  Tumia toothpick au piga mswaki kila ukimaliza kula

Hauwezi kuamini hakuna kitu kizuri kama meno yako yaonekane smart mda wote hauwezi kuongea na watu huku meno yapo na mabaki ya chakula utaonekana mtu ambae haujijali cha kufanya kila baada ya kula jitaidi kutoa mabaki ya chakula kwa kutumia toothpick na kama upo sehemu nzuri basi jitaidi hata kupiga mswaki hili uweze kuwa na confidence mbele ya watu.

3.  Fua mashuka yako kila week

Ngozi inatabia ya ajabu sana inaweza kukubaliana na mazingira but ukiweza kufua mashuka yako kila siku itakusaidia sana na itakufanya uzidi kuwa na afya kwa sababu afya ya ngozi inaanzia unapolala ndio sehemu ambayo unatumia muda mwingi, zaidi ya masaa saba. Inakuwaje mtu unaenda kulala sehemu chafu ngozi inashindwa kupumua na itafanya ishindwe kuenjoy. Kila kitu kinarelax but jitaidi sana ngozi yako ikarelax sehemu ambayo itakuwa comfortable.

4.  Jitahidi kufanya skin care kila siku 

Watu wanashindwa kuelewa kuwa skin care sio kujichubua jitahidi tu kununua product ambazo zinaendana na ngozi yako. Ukiweza kufanya hivyo basi itakusaidia sana ngozi yako iwe inayovutia. Na kama unavyojua skin care muhimu sana na zingatia pia na aina ya eneo ambalo unakaa inahitaji skin care ya aina gani yani unakaa arusha kuna baridi jitaidi sana uwe na product ambazo zinakaa sana kwenye ngozi usiwe na product ambazo zinaitajika upake ukiwa katika maeneo ya joto.

5.  Tafuta deodorant nzuri na perfum nzuri 

Ukiweza kunukia vizuri basi itakuwa umeimprove your personal hygiene unaambiwa ukiweza nukia vizuri kwa ajili yako basi ukishindwa nukia vizuri kwa ajili ya watu waliokuzunguka usiwasumbue kwa harufu mbaya. Ukiweza kunukia vizuri inakufanya ujifeel comfortable mda wote na unaweza kumhug mtu yoyote na mda wowote bila kuwa na sababu.

Kama ukiweza kufatisha hizi personal hygiene itaweza kukusaidia sana katika maisha yako ya kawaida. Usisahau kuwa hizi ways zote zinategemeana vizuri uweze kufatisha zote ASANTE KWA MDA WAKO.

imeandikwa na @gotchathegreatest

4 Tips To Level Up Your Hygienne 

Related posts