SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Beauty Looks From Last Week
Urembo

6 Beauty Looks From Last Week 

Ukiachana na kwenda kwenye events, iwe photoshoot au kuamua tu kujipenda wenyewe watu maarufu wamekuwa wakituonyesha namna ambavyo makeup artist huwa wanacheza na nyuso zao. Tunapenda kwamba kila mmoja wao kapewa look yake binafsi na sio kila makeup ya huyu inafanana na huyu.

Lakini pia ni namna makeup artist wanajitahidi kufanya makeup hizi kuonekana natural kwa kuendana na ngozi, tukikumbuka miaka kadhaa nyuma hili swala lilikuwa gumu kidogo tofauti na sasa. Week iliyopita tumeona makeup looks hizi kutoka kwa watu maarufu kutoka ndani na nje ya Tanzania ambazo zimetuvutia zaidi.

Irene Uwoya Juliana Kanyomozi fahyma

Nandy Hamisa Teni

Well tuambie look ya nani imekuvutia zaidi kati ya hizi zilizopo hapa.

Related posts

3 Comments

 1. Buy DMT Vape Pen Victoria

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/6-beauty-looks-from-last-week/ […]

 2. Best DMT shop Australia

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/6-beauty-looks-from-last-week/ […]

 3. malabar mushroom effects​

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/6-beauty-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.