SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 Makeup Looks From Last Week
Urembo

6 Makeup Looks From Last Week 

Juma lililopita lilikuwa na mengi, sherehe, photoshoots, engagement etc. Na kama ilivokuwa kawaida kukiwa na matukio basi sisi huwa tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamehudhuria je mavazi yao yalikuwa on point? Je makeup na nywele zilitulia? Na tuna wrap up na kuwaletea hapa maoni yetu.

Tunaweza kurudia kusema makeup artist wako serious na kazi zao, hawataki utani, tumewa-spot watu maarufu hawa sita na makeup looks zao ambazo kwetu tumevutiwa nazo,

Amina, Fahyma & Kajala served faces ikiwa kila mmoja alikuwa unique kwa namna yake, tumependa namna ambavyo makeup zao zimetulia.

Munalove, Queen Darleen & Nandy hawa wao walikuwa ki-sherehe sherehe zaidi kuanzia mavazi yao mpaka makeup zao walikuwa wamepop.

well tuambie yupi amekupendeza zaidi na makeup yake?

Related posts

4 Comments

 1. navigate to this site

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/6-makeup-looks-from-last-week/ […]

 2. bbw cam tits chaturbate

  … [Trackback]

  […] Here you will find 80489 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/6-makeup-looks-from-last-week/ […]

 3. Microdose mushroom chocolate bars

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/6-makeup-looks-from-last-week/ […]

 4. Oregon mushroom dispensary

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/6-makeup-looks-from-last-week/ […]

Comments are closed.