SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

6 TIMES TUMEPENDA MAKE UP YA JACQUELINE NTUYABALIWE
Make Up

6 TIMES TUMEPENDA MAKE UP YA JACQUELINE NTUYABALIWE 

Make up, Make up, Make up, siku hizi kila mtu penda apakwe make up ipendeze usoni na si kama zamani watu walikua wakipaka eye shadow upande mmoja blue nyingine pink (don’t even know who invented this trend), Jacqueline Ntuyabaliwe kwa sasa ana julikana kama Jacqueline mengi alikua miss Tanzania ambae kwa sasa ana jishugulisha na ujasiriamali, Jacque ni moja kati ya wana mama ambao wakipaka make up utapenda sababu inakuwa very neat, na kitu kimoja au viwili tume jisunza kwake ni simplicity is major key linapo kuja swala la make up na Bold lipstick ni kitu unacho hiji ili kuchangamsha sura yako. Hizi ni 6 kutoka kwake zilizo tuvutia zaidi

Nude lipstick goes with dark eye shadow

13573354_517981665051937_699335198_n

Pink una weza kuona eyeliner kwa mbali na nude eyeshadow 13743072_1089701554401796_270341016_n

red Lipstick na minimum make up

13743509_525910034261261_1493589010_n

winged eye shadow na nude lipstick, the highlighter is poping 14269023_1050670218384469_1844130669_n

hapa ali change kutoka nude to bold pink lippie 14269120_810320745771338_1768497305_n

hii ni our favorite love the grey eye shadow, tumependa red lipstick ime kaa penyewe na of course highlighter haija danganya ime mpodoa kapodoka 14565070_1639674586329732_8806401214301339648_n

Related posts