SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

7 TIPS ZA JINSI YA KU APPLY NA KUVAA MATTE LIPSTICK
Dondoo

7 TIPS ZA JINSI YA KU APPLY NA KUVAA MATTE LIPSTICK 

Matte Lipstick ni hizi lipstick za sasa zile kavu zisizo na mafuta, ni nzuri sana kwa sababu zina kaa muda mrefu na hazikuchafui chafui. Zina pendwa sana hasa kwa wale ambao hawawezi kukaa muda mrefu bila kuramba midomo, lakini zina shida yake hasa pale ambao ukizifuta una haribu midomo una kuta ngozi zina banduka kwenye lips hizi ni Tips saba rahisi ambazo una weza kufanya ili kupaka matte lipstick uka pendeza bila madhara yoyote

1) Andaa Lips zako – chukua asali, sugari na olive oil changanya na scrub lips zako kwa dakika kadhaa kisha futa lips zako, utabakia na lips ambazo ni soft kama za mtoto alafu

2)paka mafuta – kwa sababu matte lipstick ni kavu zina weza kuku sabababishia michubuko, ngozi kubanduka  kwenye midomo nk, paka lip balm au mafuta yoyote Vaseline, argan oil, coconut oil au yoyote ili kulinda midomo yako na kuipa unyevu kabla huja paka matte lipstick

3) paka concealer ili kupata rangi nzuri – ili kupata rangi nzuri ya matte lipstick yako baada ya kupaka mafuta paka concealer kwenye lips zako, hii ina saidia kukupa neat result baada ya kupaka lipstick yako.

4) Anza Kupaka lip liner – kabla ya kupaka matte lipstick yako anza kwa kupaka lip liner kufatisha muundo wa mdomo wako, hii itasaidia kuto kutoka nje ya mdomo wakati una paka lipstick yako, na itakupa muundo mzuri wa mdomo

17237843-ae36-450b-9fb0-3cf9f06bcca5

5) usisugue midomo yako – tumezoea baada ya kupaka lipstick tuna sugua midomo ya juu na chini ili lipstick ipate kukaa sawa, kwa matte lipstick una shauriwa usisugue midomo badala yake chukua brush na isambaze vizuri lipsctick yako hakikisha ume cover hio lipstick kila sehemu ya midomo inavyo takiwa.

photo-8

6)Paka tena – baada ya kupaka lipstick una shauriwa kupaka tena ilikupata muonekano mzuri na kusaidia lipstick kukaa muda mrefu una chotakiwa kufanya baada ya kupaka lipstick yako mara ya kwanza fanya kama una busu karatasi au tissue kisha baada ya hapo paka tena lipstick yako.

7)safisha juu ya midomo kwa kutumia concealer mwanzo ulipaka midomo yote safari hii paka juu wa lips kufuatisha mistari ya midomo yako kama picha inavyo onyesha chini

cach-danh-son-moi-do-de-khong-bi-lem-ellevn-5

unaweza kuona kupaka lipstick ya matte kuna chukua muda mrefu ila ukipaka inavyo takiwa una pata muonekano mzuri sana, tuna dhani tume kusaidia na pia jisikie huru kutupa tips zako na maoni yako kupitia kibox cha comment hapo chini au tembelea kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – AfroSwagga

Related posts

2 Comments

  1. download facebook videos

    … [Trackback]

    […] There you will find 25282 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/7-tips-za-jinsi-ya-ku-apply-na-kuvaa-matte-lipstick/ […]

  2. boutiq carts https://exotichousedispensary.com/product/boutiq-vapes/

    … [Trackback]

    […] Here you will find 37824 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/7-tips-za-jinsi-ya-ku-apply-na-kuvaa-matte-lipstick/ […]

Leave a Reply