SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

A Fur Shawl Is A Must Have On Your Accessory Collection
Urembo

A Fur Shawl Is A Must Have On Your Accessory Collection 

Kuna accessories nyingi mno duniani, lakini kuna zile ambazo ni nadra kuziona zikitumika mara kwa mara labda ni kutokana na hadhi yakeau hutumika msimu kwa msimu, Yes kuna scarf, fur coats mara nyingi hutumika msimu wa baridi lakini pia kuna accessories nyingine ambazo hutumika msimu wa joto.

Leo tunaongelea Fur Scarf au Shawl – hii ni accesssory ambayo kuiona ni nadra sana, ni moja ya accessory ambayo ina pewa hadhi fulani hivi kubwa mara nyingi huvaliwa kwenye events kubwa kama Fashion Events, harusi na kadhalika, Lakini pia accessory hii inapendwa sana msimu wa baridi japo unaweza kuivaa kipindi cha joto lakini wakati wa jioni.

Leo tunaiongelea kutokana na kwamba tumeona wabunifu kadha wa kadha wakiwa wameiweka katika collection zao za autumn/winter lakini pia baadhi ya watu maarufu wameonekana kuzivalia msimu huu

Mwaka Jana mwishoni tulimuona mwanadada Beyonce akiwa ame rock accessory katika hafla ya Tidal Annual Benefit Concert ambapo yeye ali rock shawl ya purple huku akiwa amevalia gauni la kijani kutoka kwa Walter’s Collection, tulipenda jinsi purple ilivyo kuwa mixed pamoja na kijani bila ku bora lakini ni jinsi ambavyo outfit ili stand out na hiko ki shawl mkononi.

Mwaka jana hio hio mwanamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade alitupa Wedding Dress Goals katika wimbo wake ambapo ali style gauni lake lililo kaa ki harusi harusi na shawl, sio tu wageni waalikwa bali hata bibi harusi anaweza kuvaa hii shawl all thanks to Yemi kwa kutuonyesha how to do it.

Haikuishia hapo tumeona watu maarufu mbalimbali kama Cadri B akiwa amevaa shawl mwaka huu katika Fashion show ya Sciriano katika New York Fashion Week akiwa amevaa a wide pant green suit na kutupia Shawl nyeupe, lakini to make a statement Cardi alimalizia muonekano wake na black & White Shades.

 

Lakini pia mwanamuziki Fantasia ameonekana kuvutiwa na accessory hii ambapo yeye amenonekana kuivaa mara mbili in different ways mara ya kwanza aliivaa na a white dress, na shawl nyeupe looks chic & elegant

wakati mara ya pili alivaa a blue jumpsuit na shawl ya bule, unaweza kuona namna shawl inakupa au kukuongezea hadhi fulani katika mtoko wako.

Mbunifu Marc Jacobs ameoneaka kuziweka katika collection yake mpya kabisa ya Autnum/winter 2018

Tunaweza kusema Beret na Shawly ndio seasonal accessory hivi sasa..

 

Related posts

5 Comments

  1. METHAMPHETAMINE CRYSTAL Buy Crystal Meth Online For Sale New South Wales

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/a-fur-shawl-is-a-must-have-on-your-accessory-collection/ […]

  2. debt consolidation

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/a-fur-shawl-is-a-must-have-on-your-accessory-collection/ […]

  3. mushroom shop Portland

    … [Trackback]

    […] There you will find 3309 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/a-fur-shawl-is-a-must-have-on-your-accessory-collection/ […]

  4. comprar reseƱas de google my business

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/a-fur-shawl-is-a-must-have-on-your-accessory-collection/ […]

  5. mikestreeservicecompany.com

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/a-fur-shawl-is-a-must-have-on-your-accessory-collection/ […]

Comments are closed.