Ni kawaida kuona viatu, nguo, style za nywele ziki trend lakini ni mara chache mno kuona accessory zina trend hasa zikiwa zina kuwa repeated kuvaliwa na watu maarufu lakini Gucci ana onekana kuendelea kutu surprise siku hadi siku as brand yake imekuwa ikitoa trend ambazo hatuzitegemei na kwa sasa¬†Gucci Buckle Belts zina onekana kuchukua nafasi yake katika accessory zimeonekana kuvaliwa na watu maarufu na hata fashionista’s.

Wengi wameonekana kuvalia mkanda huu na t-shirt na jeans huku waki ushow off mkanda huu

Rosie Huntington-Whiteley

Romee Strijd

Kendall Jenner

Chrissy Teigen

Belt Hii inauzwa kuanzia dollar 450-300 una weza kubonyeza hapa kushop mkanda huo Gucci Buckle Belts