Kama una jiuliza kitu gani kina trend kwa sasa katika urembo basi ni blue lipstick, Kama ambavyo ilikua kwa black lipstick, blue lipstick nayo ina weza kupakwa na mtu wa rangi yoyote. The shade ni nzuri endapo itapakwa ipasavyo ika kaa vizuri na kupendeza
Make It Simple – ukiwa ume paka blue lipstick hakikisha una kuwa na make up simple na uache the lipstick ifanye kazi yake ya ku- make a statement, lipstick tayari ina shout haihitaji makokoro mengine utaonekana kama a crown.
Kama una taka kuwa sweety sio creepy basi kuwa minimum kidogo paka a bright bold blue lipstick, mascara na nyusi zako vizuri basi
Own it – watu watakuona wa tofauti kama utapaka na kutembea nayo barabarani kuna ambao wata kutania ila kama ume penda na unajua ume pendeza up your head high and own the look.
Blue lipstick haichagui rangi ya mtu ni wewe na jinsi ambavyo unge penda kuonekana hawa ni baadhi ya watu wenye rangi tofauti walio paka lipstick hii waka pendeza
Dark skin tone
Light skin tone
MEDIUM SKIN TONES
OLIVE SKIN TONES
WARM SKIN TONES
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…