SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aina 3 Za Nyusi Zinazofaa Kwa Wenye Uso Wa Duara
Make Up

Aina 3 Za Nyusi Zinazofaa Kwa Wenye Uso Wa Duara 

Nyusi zina play part kubwa sasa katika uso, kama zikiwa zime pakwa/kuchorwa au kunyolewa vibaya zina weza kuupa uso wako taswira nyingine kabisa isiyo pendeza,

Uso mweusi una ukosefu wa pembe kwa sababu hio watu wenye nyuso za duara wanaonekana wana nyuso pana kuliko kawaida,pia vi-devu vyao huwa vya duara ambavyo vinafanya uso uonekane mnene na umejaa, lakini kwa kutumia tips chache katika makeup kunaweza kufanya tofauti katika uso wako.

Aina tatu za maumbo ya nyusi zinazofaa kwa watu wenye nyuso za duara,

Unatakiwa kuchagua aina ya shape ya nyusi ambayo itasaidia kupunguz upana wa uso wako,na ku highlight feature za uso wako vizuri,unatakiwa kuwa muangalifu katika kuchagua shape ya nyusi kwa sababu ukichagua aina isiyo faa itaharibu muonekano mzima

 

Hard Angled Eye Brows:

Ni muhimu kuupa uso pembe  pande zote iwezekanavyo, Hii inaweza kupatikana with a high or sharp arch,  inasemekana ni wanja bora kwa wenye uso wa duara. Arch mwembamba hufanya uso uonekane mpana  zaidi, hivyo unapaswa kuepuka aina hio ya wanja au nyusi. 

Soft Angled Eye Brows:

Wanawake wenye nyuso za duara wanaweza kupaka soft angled eyebrows na hard-angled, soft angled eyebrows zina soft peaks & curves,shape hii inaweza kuachive high au low arches, high arch ni bora zaidi kwa maana ina fanya uso wako uonekane mwembamba kuliko ulivyo kwawaida.aina hii ya nyusi inafanya uso wako uonekane kijana zaidi na ni mzuri unafanya watu wenye nyuso pana kuonekana nyembamba na wenye uso mfupi kuwa kuonekana mrefu.

S Shaped:

Aina hii ya nyusi hufanya uso mfupi kuonekana mrefu, lakini pia kidogo ina fanana na soft englad eye brows katika utendaji.

Related posts

2 Comments

  1. bonanza 178

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-3-za-nyusi-zinazofaa-kwa-wenye-uso-wa-duara/ […]

  2. สินเชื่อโฉนดที่ดิน เปล่า

    … [Trackback]

    […] There you can find 85992 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-3-za-nyusi-zinazofaa-kwa-wenye-uso-wa-duara/ […]

Comments are closed.