SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aina Za Makeup Na Wakati Sahihi Wa kuzipaka
Make Up

Aina Za Makeup Na Wakati Sahihi Wa kuzipaka 

Makeup is a blessing, like literaly. Ni namna ya kuimprove muonekano na wakati mwingine kucompliment vazi. Makeup hu-boost confidence kwa kuongeza uzuri asili au kwa kuficha matatizo madogo madogo katika uso na wakati mwingine mwili. Just a reminder you are beautiful na mwenye thamani ukiwa na makeup na bila makeup.

Pamoja na uzuri wa makeup, ni muhimu kujua namna ya kupaka makeup vizuri na makeup ya kupaka katika nyakati mbalimbali.  Muonekano ni CV na makeup ni sehemu ya CV hiyo. Makeup inaweza kufanya uonekane mjanja au mshamba, high class au low classy au ratchet. Kupaka makeup sahihi katika matukio sahihi itafanya uonekane classy. 

 • Wakati Wa Mchana

Muda wa mchana ni wa ku ‘go easy’ on the look. During the day tunaachana na hizi mambo za kucontour na kuhighlight. Ila kama una-insist basi kwa mbali sana hata isiwe noticeable. During the day pia tunaditch hizi mambo za kung’arisha pua na mashavu excessively…sweetheart we know you can glow but jua linasaidia katika hilo during the day.

Matukio mengi ya mchana (na asubuhi) ni kwenda kazini, lunch dates, mikutano, networking events. Katika mida kama hii I suggest makeup zenye rangi zilizopoa like nudes, pinks, browns na lipgloss. Skip the whole glitter things. Unaweza kuzungushia lipstick na lip liner au lipstick nyingine kutengeneza ombre look.

Kwa lipstick zenye rangi kali hakikisha you go easy kwenye macho. Kma unapaka rangi kali kama red, bright pink e.t.c then macho yako yasiwe na makeup nyingi. Some nice eyebrows na paired with neat lashes zinatosha.

Kwa lipstick zilizotulia unaweza kupaka eyeshandow but isiwe crazy, usiweke rangi nyingi nyingi unless you want to look ratchet. Kama kawaida hakikisha foundation inamatch ngozi yako au paka tinted moisturizer. Eyelashes ziwe kama kope za binadamu, sio zile nzito kama za mdoli. Human hair strip eyelashes are the best au weka individual lashes.

 • Wakati Wa Usiku

Night time ni muda wa kujiachia…..but, kuna limits pia kwa classy women. Kwanza makeup inatakiwa kuboresha muonekano na sio kukufanya mtu mwingine isipokuwa tu katika matukio machache mfano uko kwenye runway but hapa naongelea matukio katika maisha halisi.

Usiku unaweza kuhighlight na kucontour, you can highlight your nose, forehead, kidevu na mashavu ila sio sasa uonekane kituko. Kuwa na kiasi. Usiku ni muda wa kuexperiment with colours but kumbuka ukiweka rangi kadhaa kwenye jicho basi mdomoni weka rangi isiyokuwa kali. Kma aunaenda on a date hakikisha you look cute but usiende na sura ya mtu mwingine, next time mnaonana mtu anakusahau.

A lil glitter hapa na pale ni poa. Classy women hawapaki makeup zenye rangi nyingi usoni. Ukitoa nudes basi hakikisha hauna Zaidi ya rangi tatu usoni hapa zikiwemo rangi za kwenye eyeshadow unless wewe ni professional na unajua namna ya kucheza na rangi nyingi kutengeneza minimal look. Unapotoka na marafiki hususani wa karibu then unaweza kupaka makeup crazy kidogo.

A reminder, kuna exceptions katika hizi rules and kila mtu ana uhuru wa kuchagua anataka aonekane vipi but if you want to look classy then this is it

Imeandikwa na @elegancebyRee

Related posts

6 Comments

 1. how does qsymia work for weight loss​

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

 2. 무선단말기

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] There you will find 87551 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

 4. where to buy dmt vape​

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

 5. More about the author

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

 6. แทงหวย

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-makeup-na-wakati-sahihi-wa-kuzipaka/ […]

Comments are closed.