SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AINA ZA WANJA HASARA NA FAIDA ZAKE
Urembo

AINA ZA WANJA HASARA NA FAIDA ZAKE 

Kipindi cha nyuma tuliona wanja ni nini, ulipo anzia, aina za wanja, faida kwa ujumla na matumizi yake. Lakini kuna ina nne za wanja ambazo ndio zina julikana sana na kila aina moja ya wanja ina hasara na faida zake, tukukumbushe tu aina hizo nne za wanja tulizo ziongelea kipindi kilicho pita

Liquid eyeliner (wanja wa maji maji)

Wanja wa pensil

Wanja wa kungu

wanja wa gel

1) Faida za wanja wa maji maji (liquid eye liner)

magic_mac_noruish_liquid_eyeliner_8g

 • unakaa muda mrefu bila kufutika na nyingi huwa zina water proof
 • unaweza ku chora mionekano mbali mbali katika jicho

Hasara za Liquid eye liner

 • ina chukua muda kupaka
 • ina hitaji uzoefu si nzuri sana kwa wanao anza
 • uchukua muda kuufuta

 

2) wanja wa kungu

kajal-kohl

Faida za wanja wa kungu

 • ina weusi mzuri (blackest eyeliner) tofauti na wanja nyingine
 • kwa maji ya moto na kitambaa unaweza kufuta wanja wa kungu ki rahisi
 • inakupa muonekano mzuri na soft hasa utumika kwa bibi harusi
 • una tumiwa katika chini ya jicho

Hasara za Wanja wa Kungu

 • si rahisi kuipata madukani na brand zinazo utengeze ni chache
 • usipo pakwa vizuri una chukiza

Wanja wa Pensil

tumblr_n15t7zDhjX1qi8520o1_500

Faida za wanja wa Pensil

 • Rahisi kupaka (kuutumia) hata kwa wanao jifunza
 • haukauki na una kaa kwa muda mrefu
 • una tengeneza muonekano nadhifu
 • zipo katika rangi tofauti tofauti

Hasara za wanja wa Pensil

 • una futika kirahisi (hautakiwi kuugusa)
 • una takiwa ku chongwa mara kwa mara

Gel eyeliner

Maybelline-Blackest-Black-Lasting-Drama-Eyestudio-brush

Faida za Gel eyeliner (wanja wa gel)

 • haufutiki haraka
 • rahisi kuubeba (kusafiri nao)
 • ina kupa mionekano tofauti tofauti

Hasara za Gel eyeliner

 • unachukua muda kukauka
 • unahitaji brush kuutumia

matumaini yetu umeelewa na ume furahia somo tukutane ijumaa ujayo kwa kitu kingine

Related posts

1 Comment

 1. Silencers for online

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/aina-za-wanja-hasara-na-faida-zake/ […]

Leave a Reply