SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Alexander Wang And Balenciaga Are Bringing The 80’s & 90’s Hair Accessories Back
Hair

Alexander Wang And Balenciaga Are Bringing The 80’s & 90’s Hair Accessories Back 

Baada kuona video ya Bruno Mars Na Cardi tukasema okay the 80’s are official back, maana Cardi na Bruno mars walivaa kizamani lakini vimekuwa styled kisasa, mwaka jana mwishoni tuliona statement earings zilivyo rudi kwa kasi ambapo katika video hii tumemuona Cardi amevaa pia, oh well the colorful bomber jacket, boots na socks zilikuepo pia.

Lakini inaonekana haija ishia hapo wabunifu nao wameanza kurudisha accessories ambazo tulisha zisahau, mbunifu Alexandra Wang amerudisha vibanio hivi vya meno ambavyo vilitumika sana miaka ya 90-2000’s mwanzoni, ni vibanio kama vina meno meno na vinafaa kama una nywele ndefu au umesukia wig au rasta, vinakaa vizuri sana kubania nywele lakini vilipotea ghafla Alexandra Wang amevirudisha katika run way yake ya mwaka huu, models wake wali tembea katika run way wakiwa wamevalia mavazi yake lakini pia wamebana na vibanio vya aina ya claw clips vyenye brand logo yake

Well the hair accessory trend haikushia kwa Wang bali brand ya Balenciaga nao wamekuaja na scrunchies ni vibanio vya nguo ambapo vinakaa kama mpira, hivi vinatumika sana kwenye kubania pony tails ( kidoti) well they are back na mbunifu balenciaga amevirudisha vikiwa na logo yake ya Balenciaga, by the power of branding Balenciaga anauza hivi vibanio $225 na kama 495,ooo/- za ki Tanzania.

Je ume furahi hizi 80’s & 90’s accessories kurudi au bora zinga baki tu miaka hio?

 

Related posts

3 Comments

  1. punch bars

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/alexander-wang-and-balenciaga-are-bringing-the-80s-90s-hair-accessories-back/ […]

  2. find out this here

    … [Trackback]

    […] There you can find 1250 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/alexander-wang-and-balenciaga-are-bringing-the-80s-90s-hair-accessories-back/ […]

  3. try these out

    … [Trackback]

    […] Here you will find 18142 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/alexander-wang-and-balenciaga-are-bringing-the-80s-90s-hair-accessories-back/ […]

Comments are closed.