SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ali Kiba Debuted New Hair Style
Hair

Ali Kiba Debuted New Hair Style 

Mwaka unaanza kuwa interesting katika Fashion tunapenda tunacho kiona blonde ina pumzishwa, wasanii hasa wa kiume hawakua na style’s nyingi za nywele wengi walikua wana bleach nywele au kuweka vile virasta lakini mwaka huu inaonekana wengi wameamua kuja kivingine as tulianza kumuona Ben Pol akiwa ameweka nywele zake rangi ya kijani na sasa Ali Kiba amekuja na nywele za rangi nyekundu,

Wenyewe huwa wanasema “New Year New Me”, huyu ni Ali Kiba mpya kabisa ambae hatuja mzoea, tume mzoea kiba akiwa na natural hair zake nyeusi na kama kawaida yake keeping it low key, lakini safari tunaona ameamua kuja kivingine, may be ni style yake aliyo weka msimu wa Valentine lakini inawezekana pia ana kitu kipya kinakuja kina hitaji awe hivyo au kaamua kujiweka kisanii zaidi.

He styled his red hair with denim on denim outfit, which imeonekana kupendezea tuna subiri picha nyingine akiwa na mtoko mwingine tuone je Yaliyomo Yamo?

Baada ya Kiba kupost picha hio ya nywele nyekundu ilichukua dakika chache tu Ben Pol alipost picha yake pia na kuandika “trend setter” kama yeye ndio ka trendisha style ya nywele za rangi au labda ni mawazo yetu tu,

Lakini pia Ben Pol amepost picture nyingine ya Ali Kiba na Ommy Dimpoz na kusema ame farijika kupata washirika wenzie wa nywele za rangi rangi.

 

either way tunapenda wasanii wakiwa wanatoka nje ya comfort zone yao na kujaribu vitu vipya

 

Related posts

4 Comments

  1. additional reading

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ali-kiba-debuted-new-hair-style/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/ali-kiba-debuted-new-hair-style/ […]

  3. Cheap DMT for sale Melbourne

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ali-kiba-debuted-new-hair-style/ […]

  4. click the next website

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ali-kiba-debuted-new-hair-style/ […]

Comments are closed.