SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ali Kiba, Director Kenny, Calisah In Blonde Hair Do
Urembo

Ali Kiba, Director Kenny, Calisah In Blonde Hair Do 

We all love a change up, sio kila siku kuonekana yuleyule sometimes unahitaji kuja kivingine kidogo na kwa sasa tunawaona mwanamuziki Ali Kiba,Director Kenny na Mwanamitindo Calisah wakiwa wameamua kubadilisha style zao za nywele na kuwa blonde.

Well kila mmoja wao amechagua rangi ambayo amehisi inaendana na muonekano wake kuna

Director Kenny yeye amechagua medium blonde, kiba amechagua dark blonde wakati Calisah yeye ameenda moja kwa moja kwenye platinum au ( lighter blonde)

Well mates tuambie blonde ya nani imemvutia zaidi?

Related posts