Hakuna anaetaka kuzeeka wengi wetu tunapenda kuonekana vijana daima, tukiwaona watu maarufu ambao wana umri mkubwa halafu ngozi zao bado nzuri hazijajikunja huwa tunawaza wanafanya nini au wamewezaje kuwa na ngozi nzuri vile, well leo tunakuibia siri ya wao wanawezaje,
- Tumia sunscreen kilasiku uwe juani, kwenye mvua au hata ndani paka sunscreen
- Kula vizuri, achana na vyakula na vinywaji vinavyoumiza ngozi yako badala ya soda kunywa maji zaidi, kwenye chakula chako kuwe na mboga za majani na matunda.
- Kunywa maji mengi, Inatakiwa unywe 11.5 cups (2.7 liters) kwa siku
- Osha uso wako mara mbili kwasiku hakikisha unaosha uso wako mara mbili vyema iwe kabla ya kwenda kwenye mizunguko na baada ya mizunguko yaani asubuhi na usiku.
- Paka mafuta yanayofaa ngozi yako, usiache ngozi kavu
- Lala masaa nane
- Kunywa Multi-Vitamin kilasiku
- Kuwa consistency na skin care routine yako
Well fuatisha hizo tips na uje kutupa ushuhuda.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/anti-age-skin-care-tips/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/anti-age-skin-care-tips/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/anti-age-skin-care-tips/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/anti-age-skin-care-tips/ […]