SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aunty Ezekiel, Lulu Diva, Hamisa Mobetto And Others In Statement Jewelry Trend
Urembo

Aunty Ezekiel, Lulu Diva, Hamisa Mobetto And Others In Statement Jewelry Trend 

Urembo ni kitu muhimu kuwanacho hasa katika ku-elevate muonekano wako, wakati kuna aina nyingi za urembo ndogo ambazo hizi huwa zinavaliwa kama hutaki makelele mengi na zile kubwa ambazo zina draw attention.

Well kwa sasa imeonekana watu maarufu wengi wanatumia statement accessories hasa katika photo shoot zao mbalimbali. Tunachopenda kutokana na hii trend ni kwamba haichukui effort nyingi na hata kama wamevaa simple hizi accessories zinainua mionekano yao kwa asilimia kubwa.

Lakini pia wengi wao wameonekana kutumia accessories hizi ambazo zimetengenezwa na wabunifu wetu kutoka hapahapa Nchini Tanzania. Tumeowaona watu maarufu kama Luludiva, Aunty Ezekiel, Hamisa Mobetto ambao wao wamevalia accessories hizi kutoka kwa mbunifu Rackel Stylish wakati mke wa mwanamuziki Harmonize, Sarrah yeye akiwa amevalia kutoka kwa mbunifu Gcina Culuture Design.

Kingine ambacho tumependa ni namna wabunifu wa accessories Tanzania wanavyopush kuonekana katika Industry as tunajua industry yetu ina accessories designers wachache, tunadhani wanafanya kitu kikubwa sana sio tu katika kubuni na kutengeneza hizi accessories lakini pia kutumia watu maarufu kufikisha ujumbe katika jamii kwamba na wao wapo na inawezekana kupata ivi vitu kutoka hapahapa Tanzania.

Well kama una photo shoot yako na hujui nini ufanye kwa sasa hii ndio trend na huitaji makorokoro mengi as accessories zenyewe zina – draw attention kubwa.

Related posts