Kila mtu kwa sasa anapenda kufanya kitu kilicho ndani ya uwezo wake, balling in a budget, vocationing in budget, na hata ku slay on budget well hata kupata gozi nyororo basi inawezekana kufanyika in budget, yes kuna vitu vingi ambavyo vinaweza kutumika kama multipurpose kama Baking Soda hii hutumika sana kwenye kupika vitu vya ku-bake kama cookies etc, lakini pia unaweza kutumia katika urembo. Kama ambavyo leo tunaona namna gani unaweza kufanya baking soda facial scrub na ukapata matokeo mazuri katika ngozi yako.
Baking soda ni perfect exfoliator ina kiasi kizuri cha nafaka ambazo huweza kuondoa seli za ngozi ilizokufa na kukupa muonekano mzuri wa ngozi,
Unacho takiwa kufanya ni kuweka kijiko kimoja cha baking soda katika cleanser yako ili kupata super baking soda scrub, sugua uso wako kwa dakika 3 kisha futa/osha uso wako, ngozi ya uso wako itakuwa fresh & clean.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 20406 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/baking-soda-facial-scrub/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/baking-soda-facial-scrub/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/baking-soda-facial-scrub/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/baking-soda-facial-scrub/ […]