Sidhani kama wengi wetu tunajua kwamba barafu ina weza kukusaidia mambo mbali mbali katika ngozi, haya ndio mambo ambayo barafu inaweza kusasaidia

1:Tumia barafu kukandakanda kwenye chunusi kubwa kuifanya ikauke

2:barafu ukiikanda kwenye macho yaliyovimba kutokana na kutolala au uchovu huyarudisha macho yako kawaida.

3-Ice-Cubes

3:unaweza kutumia barafu ukaimassage kwenye uso wako kabla ya kupaka makeup inaakua kama primer na kufanya makeup yako ikae kwa muda mrefu.

4:kumassage barafu usoni pia huongeza blood circulation inayozuia ngozi yako kuzeeka na kupata makunyanzi mapema.

Comments

comments