SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Brands Tanzania Tuwe Realistic
Urembo

Beauty Brands Tanzania Tuwe Realistic 

Mwaka huu tumeona maendeleo mengi katika ukuaji wa makampuni hasa ya vipodozi Nchini kwetu, tumeona watu mbalimbali wakianzisha kampuni zao za vipodozi na tunaweza kusema hii ni hatua kubwa mno. Lakini kuna jambo moja ambalo linatu-disappoint nalo ni kupaka makeup kwenye matangazo yao huku wakiwa wanatangaza lotion, like make that make sense. Unapakaje makeup kisha unatangaza lotion ya ngozi? yaani una foundation, una concealer, umepigwa na highlighter halafu juu yake unapaka lotion unasema hii lotion itakusaidia kupata ngozi nyororo? Can we see that ngozi without huo msasa mliojipiga?

Tunajua mnawaangalia wengine Nje, kama Rihanna, Kylie Jenner na wengine ukiangalia matangazo yao inawezekana wancachukua models wenye ngozi nzuri saa nyingine hata hawajatumia hiko kipodozi lakini atleast wanatuonyesha fresh skin, kuliko sisi ambao tunapaka a full makeup kutangaza lotion like who are we kidding?

2022 let’s do better.

Related posts

2 Comments

  1. Evoplay Slot

    … [Trackback]

    […] Here you will find 60026 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-brands-tanzania-tuwe-realistic/ […]

  2. buy polka dot mushroom bars online voucher

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-brands-tanzania-tuwe-realistic/ […]

Comments are closed.