Mwanamitindo kutoka Tanzania ambae ana fanya vizuri Nchi za Nje, Herieth Paul (20) ni beauty crush wetu wa leo. Herieth she keeps her natural beauty kuanzia rangi ya ngozi mpaka nywele we can say she is a complete beautiful melanin.
Ukiachana na kuwa natural Herieth ana paka makeup now and then, ambapo huwa ana pendeza sana sometimes anatufanya tufikirie anapaka foundation gani inayo endana na rangi yake kiasi hiki
we love this picture her perfect eye shadow & dark lips
pale tunapo ongelea earth- toned makeup, simple yet beautiful
purple on purple
Whoever said black people don’t look good on colorful lipstick, he/she is a liar.
Tunapenda jinsi Herieth ana paka makeup zake, tunapenda ambavyo ngozi yake inavutia we would love to knoa about her skin routine. kama wewe una rangi na upo natural kama Herieth usiwe muoga kujaribu as you can see Herieth anapaka kila rangi ya mdomo na ana pendeza.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 28288 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-herieth-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-herieth-paul/ […]