SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEAUTY CRUSH – JULITHA KABETE
Make Up

BEAUTY CRUSH – JULITHA KABETE 

Julitha Kabete (21) Alishiriki shindano la Miss Dar Miss Dar City Centre na kutwaa taji.
Licha ya kutwaa taji hilo, Julitha alifanikiwa pia kunyakua taji la balozi wa televisheni ya jijini Dar es Salaam iitwayo TV1 na baadae kushiriki fainali za Miss Ilala na kutwaa tena taji na kisha akashiriki  Miss Tanzania.
Lakini hakufanikiwa kutwaaa taji la Miss Tanzania badala yake alishika nafasi ya nne hata hivyo Julitha alipata nafasi nyingine muhimu na ya kipekee baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania katika shindano la Miss Afrika ambayo nayo hakufanikiwa kushinda.
Tuachane na hayo Julitha ni mrembo kweli kweli dnio maana leo kawa Beauty Crush wetu
 Tuna penda how she is carrying her self yaani she has classy, her make up is always on point. Outfits on point yaani she is a queen
we love her make up, hasa akiwa on nude looks anakuwa flawless
this ombre lipstick anayo pakwaga is to die for, love,love.love & love
natural hair don,t care na did you notice the skin? Melanin indeed
wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

 1. read here

  … [Trackback]

  […] There you can find 75336 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-julitha-kabete/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen and Cartridges Perth

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-julitha-kabete/ […]

 3. Ventilatoare centrifugale

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-julitha-kabete/ […]

Leave a Reply