SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEAUTY CRUSH MAKEUP ARTIST JULIET KUNDI
Make Up

BEAUTY CRUSH MAKEUP ARTIST JULIET KUNDI 

Juliet Kundi ni make up artist anae kuja kwa kasi, amesha fanya kazi na watu maarufu kama Lady Jay Dee na Najdattan. Juliet ana fanya kazi zake na kuzi post Instagram mara kwa mara, kilicho fanya leo tumuweke ni creativeness yake. Juliet ana jaribu na ana uthubutu una weza kuangalia kazi zake hapo chini na kama uta muhitaji taarifa zake za kuweza kumpata hizi hapa

+255 786896535
SC @julietkundi
Instagram @julietkundi

12383388_778528432247945_836291690_n

hapa juliet ame tumia foil tuna dhani kunogesha make up yake 12917949_1551289518504765_2099061781_n

hapa juliet katumia maua hizi make up zina faa zaidi katika matangazo au cover za magazeti12976592_1105949649484923_1130978906_n

hapa ame tumia nafaka

Related posts

Leave a Reply