Leo tuna mcrush make up artist kutoka Tanzania Maya Janeska’s si mTanzania lakini ana ishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi sasa,
Maya ambae pia liwahi kufanya Modelling ana sema mara ya kwanza kupenda make up alikua na miaka 16 ambapo alikua akifanya modeling na wakati ana pambwa hapo ndipo alipo anza kupenda make up, Maya ni Youtuber pia unaweza kujifunza kutoka kwake kwa kuangalia video katika youtube channel yake iitwayo 007mayamia pia una weza kumfollow instagram @maya_mia_y, kilicho fanya leo awe crush wetu ni jinsi ambavyo Maya ana uwezo wa kucheza na make up haogopi rangi na ukiingia katika kurasa zake za mtandao wa kijamii huta taka kutoka, tuangalie baadhi ya kazi zake
na hii ndio moja ya video yake iliyopo huko youtube ambapo alifanya make up inspired by Meagan Good, ama followers zaidi ya milioni moja Instagram na subscriber laki tisa youtube
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-maya-mia-make-up-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-maya-mia-make-up-artist/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-maya-mia-make-up-artist/ […]