SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEAUTY CRUSH: MIKONO HATARI YA GRACIE MALIKITA
Make Up

BEAUTY CRUSH: MIKONO HATARI YA GRACIE MALIKITA 

Gracie Malikita au @cherie_mals kama ambavyo anajiita katika ukurasa wake katika mtandao wa Instagram ni Make Up Artist kutoka hapa hapa nchini Tanzania, ukiachana na makeup artist wengi kutoka hapa Nchini Gracie ni wa tofauti kidogo, Gracie haogopi rangi na ana jaribu kujifunza vitu vipya kila siku, ukiangalia makeup ya Gracie na Makeup Artist wengi utaona Gracie ana kiwango fulani cha nje, mara nyingi amekua akijifanyia make up mwenyewe na ana jipatia hasa, tuna penda tunacho kiona kutoka kwa Gracie Hongera kwake na pia wengine pia tujifunze kutoka kwake. Tusiogope kujaribu

10401774_714269872005979_1680940621_n 12558375_1508860259418698_1861951573_n 12716711_1709238519345843_756341645_n 12729629_1760321174189726_1218590449_n 12750290_614758572010343_1817126728_n

Related posts

4 Comments

 1. Cheap DMT for sale New South Wales

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-mikono-hatari-ya-gracie-malikita/ […]

 2. avença informática

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-mikono-hatari-ya-gracie-malikita/ […]

 3. turkey tail mushroom capsules benefits

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-mikono-hatari-ya-gracie-malikita/ […]

 4. https://www.dallasnews.com/marketplace/2023/09/29/phenq-reviews-legit-diet-pills-or-fat-burner-scam/

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-crush-mikono-hatari-ya-gracie-malikita/ […]

Leave a Reply