SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEAUTY CRUSH – ROSA REE
Make Up

BEAUTY CRUSH – ROSA REE 

Ni rapper wa kike kutoka the industry ambapo ndani yake kuna Aika Navy Kenzo na Nahreel, Leo Rosa Ree kawa beuty crush wetu ni kutokana na jinsi anavyo jiweka tofauti na ma rapper wengi wa kike Tanzania, Rosa Ree ana paka make up, ana vaa ki-kike japo she keeping it gangster lakini muonekano wake ni mchanganyiko wa ugumu na sexiness.

Tunapenda jinsi anavyo wear her make up na bold lipstick ambazo zime kuwa kama ni statement muonekano wake

brown shades, hii ni moja ya ambazo tume zipenda kutoka kwake ukiangalia nywele ina u brown, lipstick na ka match na kishati na mmeona hereni yake? (major key)

12751363_1674077542841734_219144714_n

gold glitter lipstick adding attitude even better

13285242_1604982956459466_1721558932_n

Rosa na Blue lipstick hapa tumependa hizo eye liner wings no colors, yoyote anae mfanyia make up huyu binti is not to be messed with13642845_1778242449079282_1764844154_n

hapa tumependa eye shadow na hio ming’ao pembeni ya jicho ni Perfection14156375_1768877296692983_2046039196_n

Related posts