SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Celebrity To Inspire Your Next Makeup Appointment
Make Up

Beauty Looks From Celebrity To Inspire Your Next Makeup Appointment 

Tunaweza kusema industry ya urombo Tanzania inazidi kukua, kuanzia kuwa na vipodozi vinavyo toka hapa hapa Tanzania lakini pia makeup artist wanajitahidi sana katika kazi zao, Tumespot hizi makeup looks kutoka Instagrama ambazo tumeona tukuwekee hapa unaweza kupenda moja wapo ukaamua ku-copy, kama unaenda kwenye sherehe,kazini au kujifanyia tu mwenyewe ukiwa nyumbani like sometimes you just feel like looking good for yourself.

Jokate Mwegelo alikuwa glammed up na makeup artist @laviemakeup

Mwanamuziki Lulu Diva came with new hair do & she was beautified na makeup artist @divaglam_beauty, Je mmependa the blonde look on her or nah? 

Muigizaji Elizabeth Michael yeye alikuwa graced na @divaglam_beauty 

Wakati former Miss Tanzania Brigitte Alfred yeye alikuwa groomed na @cherie_mals 

Tuna Queen Elizabeth Miss Tanzania 2018/2019 yeye alikuwa dolled up na @cherrysuzie, we love the smoke eye and nude lips, simple and beautiful.

Menina yeye ametuonyesha unavyoweza kusuka minyoosho huku ukiwa na bold makeu up usoni, she went for pink eyeshadow and ombre lips. Makeup yake ni kutoka kwa @noor_beauty_parlor

Mwanamuziki Shilole yeye alichagua simple makeup na nude lips, akaongezea dropped statement earrings, yeye alikuwa beaten na @goddess__glam

Tuambie look ipi umeipenda na unadhani utajaribu?

Related posts