SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Last Week
Habari

Beauty Looks From Last Week 

Iwe kwenye mitoko au kuwa sehemu za kawaida watu maarufu na wasio maarufu hupenda kunogesha mionekano yako kwa kuongezea kupaka makeup, lets say ni kitu ambacho huwa kinanyanyua sana mionekano yao na kuongeza kunogesha urembo wao wa kawaida. Last week tuliona looks hizi nne kutoka kwa Elizabeth Michael, Hamisa Mobetto, Lulu Diva pamoja na Nandy ambazo tulivutiwa nazo

Elizabeth na Lulu wao walikuwa in almost similar makeup look ikiwa Eliza yeye alikuwa na pixie cut hair style huku Lulu Diva yeye akiwa amevalia remba

Wakati Hamisa Mobetto na Nandy nao walionekana na makeup looks zao nzuri.

well tuambie kwako look ya nani imekuvutia zaidi?

Related posts

2 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-2/ […]

  2. click the next page

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-2/ […]

Comments are closed.