SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Last Week
Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Kuna wakati watu maarufu wana serve beauty looks mpaka unatamani wasivute, na kuna wakati unaona makeup kwa mtu maarufu unajiuliza hii imefanywa bure au kulikuwa na some sort of discount? Well tuseme kwasasa tunaona wengi wanajitahidi na looks zao, makeup artist wanajitahidi kujua rangi na namna ya kucheza na nyuso zao week iliyopita tumeona looks hizi chache zilizotuvutia

Hamisa Mobetto looked like a doll on this face beat , Maua Sama keeping it sassy with the glossy lips and sassy long eyelashes.

Wengine tuliowaona ni Gigy Money pamoja na Shilole, Wakti Gigy alichagua bold lipstick, Shilole yeye alikuwa na ombre nude lipstick.

Tunapenda tunachokiona kwenye swala la urembo Tanzania well tuambie look ya nani imekuvutia zaidi?

Related posts

5 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-3/ […]

 2. read more

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-3/ […]

 3. ปั้มยอดวิว

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-3/ […]

 4. effects of taking magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] There you can find 7519 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-3/ […]

 5. uniccv

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-from-last-week-3/ […]

Comments are closed.