SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Last Week
Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Linapokuja swala la makeup watu maarufu huwa hawa-play games, the face must serve hata kama outfit itakuwa ya kawaida lakini sura lazima iwe vyema kabisa, iwe ni simple makeup au bold makeup look.

Week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali waki-serve glam looks akiwepo Fahyma, Hamisa & Nandy ambacho tumeona kinafanana kwao ni uchaguzi wa mitindo ya nywele na nude lipstick huku Fahyma akichagua kuwa na statement blue underliner.

Lakini tuliwaona pia Batuli, Halima na Jacqueline ambao wao kidogo walikuwa bold na makeup zao, Batuli alichagua kuwa na bold purple lipstick huku Halima akiwa all glammed up na glossy ombre lipstick na Jacqueline yeye akiwa na peach lipstick.

Tuambie kati ya hawa sita nani amekuvutia zaidi na makeup look yake?

Related posts