SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks From Last Week
Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Last week glam code was soft and effortless, ikiwa week ilikuwa tulivu hakukuwa na event yoyote ya kuhudhuria watu maarufu walikuwa na look za kawaida ambazo ni za kila siku na sio zile za mitoko.

Well ukiachana na makeup lakini pia tumeona ya nywele ikiwa zimetengenezwa vyema iwe weaving, wig, rasta au afro zote zikiwa zinavutia, week hii tumewaona

Irene Uwoya, Hamisa Mobetto Na Anjella

Wengine ambao walituvutia na beauty looks zao ni

Zuchu, Halima Kopwe na Amber Lulu

Well tuambie kati ya hawa nani amekuvutia zaidi na muonekano wake>

Related posts