Japokuwa wanasema tabasamu inanguvu kuliko make up, lakini tunajua makeup nayo ina ujazo wake katika muonekano kwa wote mwanamke na mwanaume.

Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa face beaten well lets say nani na nani ambao wametuvutia na looks zao.

Wema Sepetu was dolled up na Lavie Makeup, We love this look the nude lips, perfect bows, eyelashes on point tunaweza kusema Lavie hajawahi kumkosea Wema its a perfect duo.

Elizabeth Michael, she blessed our IG this week na hii makeup look, tumependa makeup yake, tunajua how red lipstick inavyotoa uso kwenye 0-100 ambacho tumeona kipo off kwenye hii look ni nywele. The hair is giving us early 2000’s vibes pale ambapo zilikuwa zinatoka and hatujui kuzibandika.

Aaliyah took the best makeup look of the week clown, hii face beat ni safi lakini pia natural haijazidi wala kupungua sana usoni mwake na nywele zimebanwa neatly kabisa. Talking about minimalist makeup look goals.

Fahyma yeye alimua kuwa extra na muonekano wake, ametupa extra baby hair, extra pearls usoni lakini pia akaamua kuwa na bold red lips, sisi tunaiita hii extra isiyoumiza.

Tuambie makeup look ya nani imekutia zaidi week hii?