Tumeanza week nyingine, ni time ya kuwapa review ya week iliyopita, tumeona nini kime-trend na nani alipendeza na nani alikuwa mmh.
Week iliyopita kilicho trend ni beauty looks, tumeona watu maarufu wengi wakiwa wamepost mionekano yao ya makeup and once again tunasema makeup artist wa Tanzania your the ish.
Kiukweli tunapenda tunapoenda kwenye swala zima la makeup, this makes us wonder how can makeup artist snap harder than out designers? Makeup artist wame invest sana kwenye kazi zao ukiachana na kupaka makeup nzuri lakini pia picha za kazi zao zinafaa kabisa kuwekwa kwenye wallet (joke) anyways lets see the looks
Elizabeth Michael went colorful on her makeup, she had blue and gold eye shadows akamalizia na nude lipstick, ain’t she looking yummy?

Makeup By Eddie graced Ebitoke’s face with this flawless makeup look, You can real eat that face like a snack

Zuchu said she will go for earth tone,She really served us a full meal with this makeup.

Linah Sanga came through with bold lipstick, We love the color combination between makeup and outfit

Well Afromates let us know who took the beauty look of the week crown?
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…