SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Beauty Looks Served From Last Week
Urembo

Beauty Looks Served From Last Week 

New Day, New Week, Same Hustles.. Heri ya week mpya afromates na kama ilivyoada huwa tunaanza week kwa kuangalia week iliyopita kulikuwa na nini, nani amefanya vyema na nani ameharibu.

Week hii tunaangalia mionekano ya nywele na makeup kutoka kwa watu maarufu mbalimbali akiwepo Hamisa Mobetto, Happiness Magese, Elizabeth Michael na Wema Sepetu Let’s Get Started

 • Hamisa Mobetto

Hamisa looked gorgeous in make up by jojo beat, akiwa amesukia faux locks zenye mix ya blonde na nyeusi wakati akiwa na simple makeup beat we love the eye liner na pink lipstick to match with her blazer.

 • Happiness Magese

Talking about a simple yet popping face beat, Happiness alikuwa in green dress ambapo makeup yake ilikuwa simple eyeliner & eye shadow, nyusi zilizowekwa vyema, touch’s up za foundation akamalizia na bold lipstick. Beautiful

 • Elizabeth Michael

Eliza yeye alihudhuria kitchen party gala 2020 akiwa amevalia pink na blue dress, kichwani akiwa amefunga kilemba chake vyema na popping makeup, All Shades of pink kwenye eye shadow na lipstick perfect eye brow na akamalizia na statement earrings. lovely

 • Wema Sepetu

As usual Wema hanaga kazi mbaya inapokuja kwenye swala la makeup, tumependa eye lashes zake amemaliza muonekano wake na nude lipstick.

Well Afromates tuambie ni look ya nani umeipenda zaidi?

Related posts

4 Comments

 1. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-served-from-last-week/ […]

 2. view website

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-served-from-last-week/ […]

 3. Automated Test Platform

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-served-from-last-week/ […]

 4. Golden Teachers Mushroom

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/beauty-looks-served-from-last-week/ […]

Comments are closed.